Hatuhitaji “mabwana” wanaozilazimisha nchi nyingine, achilia mbali kugeuza suala la haki za binadamu kuwa la kisiasa na kuwa chombo, kuwa na vigezo viwili na kuingilia mambo ya ndani ya nchi nyingine kwa kisingizio cha haki za binadamu

10:08:55 2024-12-02