Kitanda cha maua chenye mada ya kuadhimisha miaka 80 ya ushindi wa Vita vya watu wa China dhidi ya Uvamizi wa Japan kimezinduliwa kwenye Barabara ya Chang'an ya Beijing.

11:03:51 2025-08-29